KBC Video ›› Bunge lahimizwa kuondoa ushuru wa visodo
Wanafunzi kutoka familia zisizojimudu kote nchini wanatarajiwa kunufaika kutokana na msaada wa sodo ikiwa bunge ltapitisha pendekezo la wawakilishi wa kina mama katika kaunti zote-47 la kuondoa ushuru unaotozwa taulo za hedhi. Akiongea wakati wa usambazaji …